KAZI YA MUNGU
Yesu akajibu, akawaambia, Hii ndiyo kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.
Yohana 6:29
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Yohana 3:16
Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
Ufunuo wa Yohana 22:12
Kazi ya Mungu ni kumwamini aliyetumwa. Na huyohuyo aliyetumwa ndiye mlipaji. Kazi kweli kweli, utalipwa kwa kazi yako ilivyo.
Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.
Comments
Post a Comment