MTU ASIJE AKAJISIFU
hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhuisha pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu;
wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
Waefeso 2:5,8,9
Amani na Upendo wa Mungu uwe pamoja nanyi watoto wa Mungu.Tulikuwa wafu sababu ya makosa yetu, ila tumehuishwa pamoja na Kristo. Tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani, ambayo ni kipawa cha Mungu wala si kwa nafsi zetu, hivyo tusije tukajisifu.
Mbarikiwe sana.
Comments
Post a Comment