MWITO MTAKATIFU TANGU MILELE.
ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele,
2 Timotheo 1:9
1. Alituokoa, akatuita.
2. Mwito mtakatifu.
3. Kadri ya makusudi yake.
4. Kadri ya neema yake.
5. Neema tulipewa katika Kristo Yesu.
6. Tulipewa tangu milele.
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Yeremia 1:5
Comments
Post a Comment