AKAWAHURUMIA, AKAWAPONYA.
Naye Yesu aliposikia; hayo, aliondoka huko katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao.
Yesu akatoka, akaona mkutano mkuu, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao.
Mathayo 14:13-14
Amani na Upendo wa Mungu uwe pamoja nanyi. Yesu ni mwenye huruma na anaponya bila kujali wewe ni mwenye haki au sio. Hata hivi leo wagonjwa wanapona kwa huruma yake, ila kwa kinachohitajika ni imani. Amina.
Comments
Post a Comment