NI JINSI GANI MAUTI ILIKUJA ULIMWENGUNI?
Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi;
Warumi 5:12
Amani na Upendo wa Mungu zidumu pamoja nanyi. Ni kwa ajili ya mtu mmoja, dhambi ilikuja ulimwenguni kwa watu wote. Na kwa dhambi hiyo mauti ikawafikia watu wote.
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Warumi 6:23
Hivyo, mauti ilikuja kwa kutokutii na kutenda dhambi kwa mtu mmoja..
Comments
Post a Comment