JE, MTU HUWA NANI ANAPOONGOZWA NA ROHO WA MUNGU?
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu;
Warumi 8:14,16
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu. Ukifuata matendo ya mwili unataka kufa, bali unatakiwa kuyafisha mambo ya mwili kwa Roho ili uishi.
Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
Wagalatia 5:16
Comments
Post a Comment