JE, SALA ITAKUWA NA FAIDA GANI KWA MTU ANAYEHUSIKA?
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
Yakobo 1:5
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu. Mtu akipungukiwa na hekima, aombe kwa Mungu atupaye wote kwa ukarimu, na aombe kwa imani bila shaka yoyote, naye atapewa. Maana mtu mwenye shaka hadhani kama atapokea kitu kwa Bwana.
Saburi na iwe na kazi kamilifu, mpate kuwa wakamilifu na watimilifu bila kupungukiwa na neno.
Yakobo 1:4
Ndipo utakapofahamu kumcha Bwana, Na kupata kumjua Mungu.
Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;
Mithali 2:5-6
Comments
Post a Comment