VITU VINGINE VYA THAMANI ALIVYOAHIDIWA MSHINDI. (1)
Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu. Kwa aliye na sikio asikie maneno haya Roho ambayo Roho anayaambia makanisa.
YEYE ASHINDAYE:
1. Nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
Ufunuo wa Yohana 2:7b
2. Hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Ufunuo wa Yohana 2:11b
3. Nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Ufunuo wa Yohana 2:17b
4. Na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,
Ufunuo wa Yohana 2:26b
Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja.
Ufunuo wa Yohana 2:25
Comments
Post a Comment