JE, KANISA LITAKUWA NA USHAWISHI GANI KWA WASIOAMINI?
Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Yohana 17:21
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu. Kwa umoja ndani ya kanisa, na Upendo na matendo mema kutashawishi ulimwengu kusadiki kwamba Yesu ni Bwana, na ndiye aliyetumwa na Baba.
Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
Wagalatia 3:28
Comments
Post a Comment