JE, KUNA KUMBUKUMBU YOYOTE YA HABARI NJEMA KUHUBIRIWA MAPEMA?
Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa.
Wagalatia 3:8
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu.
Mungu alimuahidi kumfanya Abramu kuwa taifa kubwa, kumbariki, kulikuza jina lake, na awe baraka. Na watakaombariki watabarikiwa, na watakaomlaani watalaaniwa na katika yeye jamaa zote za dunia zitabarikiwa.
akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?
Mwanzo 18:18
Comments
Post a Comment