JE, WANATEGEMEA BWANA KUSIKIA NA KUJIBU MAOMBI YAO?
Yeye aligeuzaye sikio lake asiisikie sheria, Hata sala yake ni chukizo.
Mithali 28:9
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu. Itafika wakati watayakataa mafundisho yenye uzima, watazifuata nia zao wenyewe wakijipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti. Lihubiri neno wakati wote, karipia, kemea na onya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.
Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.
Zaburi 66:19
Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
2 Timotheo 4:5
Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze.
Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
Luka 13:27
Comments
Post a Comment