JE, WANAOMTUMIKIA BWANA WATAKUWA KATIKA HALI GANI KABLA BWANA ATAKAPOKUJA?
Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa.
2 Timotheo 3:12
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu.
Roho za wanafunzi zilifanywa imara na kuonywa wakae katika ile imani, sababu iliwapasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya dhiki nyingi.
Bali wewe ukae katika mambo yale uliyofundishwa na kuhakikishwa, kwa maana unajua ni akina nani ambao ulijifunza kwao;
na ya kuwa tangu utoto umeyajua maandiko matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.
2 Timotheo 3:14-15
Comments
Post a Comment