JE, ILIKUWA KUSUDI LA KRISTO KUMALIZA AU KIBADILISHA SEHEMU YOYOTE YA SHERIA YA MUNGU?
Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.
Mathayo 5:18
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu aliye mbinguni. Yesu hakuja kuitangua torati na manabii, bali kutimiliza. Ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itenguke nukta moja ya torati.
Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Luka 21:33
Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
Waebrania 8:13
Kwa maana Kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki.
Warumi 10:4
Comments
Post a Comment