JE, HAKI NI NINI?
Kwa sababu hiyo, Ee mfalme, shauri langu lipate kibali kwako; ukaache dhambi zako kwa kutenda haki, ukaache maovu yako kwa kuwahurumia maskini; huenda ukapata kuzidishiwa siku zako za kukaa raha.
Danieli 4:27
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu,Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu aliye mbinguni. Kwa hivyo haki inaonekana kabisa ni kinyume cha dhambi; hivyo ni kufanya vema na kutenda mema. Tumieni akili kama ipasavyo, wala msitende dhambi, kwa maana wengine hawamjui Mungu. Kuweni na juhudi nyingi katika kupendana, maana upendano husitiri wingi wa dhambi.
kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
1 Petro 4:10
Haja ya mwenye haki ni mema tu; Bali kutaraji kwake mtu mwovu ni ghadhabu.
Mithali 11:23
Comments
Post a Comment