JE, HALI YA ASILI YA BINADAMU NI IPI?
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
Warumi 3:23
Ahimidiwe na atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na Baba yetu aliye mbinguni. Wote wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo, ambaye Mungu amemuweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Kristo Yesu kwa wote waaminio.
apate kuonyesha haki yake wakati huu, ili awe mwenye haki na mwenye kumhesabu haki yeye amwaminiye Yesu.
Warumi 3:26
Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na mwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,
Warumi 5:1
Comments
Post a Comment